“”MISSIONARY SISTERS
ADORERS OF THE BLOOD OF CHRIST””
P.O.BOX 511, DODOMA TANZANIA, 0713250253
Mkurrungenzi wa shule ya Sekonadry Maria de Mattias (kushoto) akisalimiana na Mh. Waziri Mkuu(mb) Pinda
Hawa ni baadhi ya Masister Wanao wahudumia Wanafunzi wetu
SR Conie (kushoto) akiwa na Mwanafunzi wake katika picha ya Pamoja
Students in the chapel
SCHOOL MOTTO :Education for future of hope
Kozi za Computer Wanafunzi wetu pia wanapata nafasi ya kujifunza computer, kila mwanafunzi anakuwa na computer yake pale anapokuwa Computer Lab,
Hizi ni baadhi ya Picha zikionyesha shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi wa shule ya secondary maria de mattias
Maria de mattias students s singing a song
Primary students of Maria de mattias Dancing
students at the parade ground
students gettig civiral knowledge at Jamhuri stedium
maria de mattias secondary school
Shule ya Maria De Mattias in shule inayomilikiwa na MISSIONARY SISTERS ADORERS OF THE BLOOD OF CHRIST. ipo katika manispaa ya Dodoma kilomita chache tu kutoka Mjini, barabara ya morogoro road karibu na kituo cha mafuta Lake Oil. Shule hii ni boarding kwa ajili ya wasichana tu pia inakidato cha kwanza hadi cha sita, kidato cha kwanza inafundisha masomo ya
Mathematics
Physics
Biology
Chemistry
Geography
Kiswahili
Civics
History
Bookeeping
Commerce
Computer and Information Studies
kwa upande wa kidato cha tano na sita inamichepuo ya
PCM
CBG
PCB
EGM
ECA
MAFANIKIO Shule imekuwa ikifanya vizuri hasa katika mitihani ya ndani na nje na kushika nafasi ya kwanza kimkoa na hamsini na nane kitaifa NAFASI Pia inanafasi kwa kidato cha kwanza na kidato cha tano vidato vingine hakuna nafasi. Pia form zimeanza kutolewa kwa kidato cha kwanza kwa ajili ya mwakani,