Sunday, June 14, 2015

 

 maria de mattias secondary school

Shule ya Maria De Mattias in shule inayomilikiwa na
MISSIONARY SISTERS ADORERS OF THE BLOOD OF CHRIST. ipo katika manispaa ya Dodoma kilomita chache tu kutoka Mjini, barabara ya morogoro road karibu na kituo cha mafuta Lake Oil.
Shule hii ni boarding kwa ajili ya  wasichana tu pia inakidato cha kwanza hadi cha sita,
 kidato cha kwanza inafundisha  masomo ya 
  • Mathematics
  • Physics
  • Biology
  • Chemistry
  • Geography
  • Kiswahili
  • Civics
  • History
  • Bookeeping
  • Commerce
  • Computer and Information Studies






kwa  upande wa kidato cha tano na sita inamichepuo ya
  • PCM
  • CBG
  • PCB
  • EGM
  • ECA
MAFANIKIO
Shule imekuwa ikifanya vizuri hasa katika mitihani ya ndani na nje na kushika nafasi ya kwanza kimkoa na hamsini na nane kitaifa
NAFASI
Pia inanafasi kwa kidato cha kwanza na kidato cha tano vidato vingine hakuna nafasi.
Pia form zimeanza kutolewa kwa kidato cha kwanza kwa ajili ya mwakani, 

 

No comments:

Post a Comment